tangazo

Wanafunzi wa Sekondari waanza kwenda shule Wuhan

Wanafunzi wa Sekondari Wuhan, China (kwenye picha) ambako corona ilianzia leo wameanza kwenda Shule, kabla ya kuingia darasani wanapita kwenye mashine ya kupima joto, tarehe ya shule za msingi kurejea bado haijatangazwa japo baadhi ya maeneo wameanza kuwaruhusu.

Post a Comment

0 Comments