tangazo

Waziri Jafo atangaza Madaktari waliajiriwa na Serikali (+video)


Leo May 8, 2020 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Seleman Jafo ametangaza majina ya waajiriwa wapya katika Wizara ya Afya.

“Leo hii tumepata fursa ya kuweza kuwatangazia mchakato ambao tuliuendesha kwa ajili ya kupata Madaktari mahiri wa kwenda kuwasaidia Watanzania, mchakato ule umeenda vizuri vijana wa Kitanzania wamejitokeza wameomba nafasi zile na tumeajiri na sasa tunatoa tangazo la vijana walioajiriwa 610”. Waziri Jafo

“TUMEAGIZA DAWA YA CORONA MADAGASCA, TUTATUMA NDEGE WATANZANIA WANUFAIKE”

Post a Comment

0 Comments