tangazo

Waziri Mkuu wa uingereza ampa mwanae jina la Daktari aliyemtibu corona

Waziri Mkuu wa uingereza Boris Johnson na mchumba wake wamempa mtoto wao jina la madaktari waliosaidia Waziri huyo kumtibu ugonjwa wa corona .

Jina lake ni Wilfred Nicholas Johnson, majina mawili ya kwanza yanatoka kwao,yaliyobaki ni ya upande wa madaktari.

Wataalamu wa mambo wanasema jina la mtoto huyu mchanga wa kiume limekuwa refu sana na huenda likawaboa wanaomuita, na wameshauri kamani kwa heshima ya madaktari angeitwa Nicholas pekee.

Post a Comment

0 Comments