tangazo

Waziri wa kilimo atangaza kuvifuta vyama hewa vya ushirika

Wazir wa kilimo Japhet Hasunga , ametangaza kuvifuta vyama vya ushirika 3348, ambavyo ni hewa baada ya Serikali kutoa notisi ya siku 90 kwa mtu ama chama kuwasilisha pingamizi la kutofutwa kwa vyama vilivyoorodheshwa kufutwa.

Post a Comment

0 Comments