Kauli ya Daimond baada ya kuonekana kwenye jarida la Billboard

Baada ya taarifa za kuonekana kwenye jarida kubwa duniani la billboard likimtolea mfano kama msanii ambaye amekuwa mbunifu sana kupitia mtandao wa Youtube kwa kujitangaza Diamond Platnumz
Pia kwa wasanii wa Kimarekani wanaotaka kufanikiwa kupitia YouTube basi wamuangalie na wajifunze mikakati yake.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweza kuandika ujumbe huu ikiwa ni ishara kwamba amezipokea taarifa hizi kwa mikono miwili.

Diamond Platnumz ameandika hivi:- “Just Work hard, Pray hard and Stay positive…. Thats the Secret!

Diamond Platnumz Tanzania

Post a Comment

0 Comments