Master Jay atangaza nia ya kugombea ubunge Rombo

“Mimi nipo CCM tangu zamani, natangaza nia, uchaguzi wa mwaka huu, Chama kikinipa nafasi nitagombea Rombo, Kilimanjaro kule ndio kwetu, Mbunge wa sasa kule ni Mzee wetu Selasini, naenda Rombo ili kuwatumikia Wananchi” -Producer Master Jay

“Mimi nina miaka 50 kasoro miaka 3, nimefanya mengi, Kiwanda cha Muziki kimenipa mengi, Watoto wangu wanasoma chuo Nje ya nchi wa kwanza na wapili, hivyo mafanikio nimeshapata, ni muda sasa kwenda kuwatumikia Raia wa Rombo kwa kuwa Mbunge wao”-MASTER JAY

“Sijawahi kuisaidia jamii yangu ya Watu wa Rombo, Mungu amenijaalia uwezo kiasi hivyo nafahamu matatizo yanayoikumba Rombo na ningependa kuwasaidia, hivyo hilo ndio jambo linalonisukuma zaidi”- MASTER JAY

Post a Comment

0 Comments