tangazo

Mohammed Dewji Mo: Niwahakikishie hakuna mchezaji wetu yoyote atakaye ondoka SIMBA.

Wanasimba wenzangu nataka niwahakikishie hakuna mchezaji wetu yoyote atakaye ondoka SIMBA.
Lakini pia tutasajili  mchezaji yoyote,
kutoka popote.🦁
kama mwl wetu atamuhitaji kwenye kikosi chake..
Tutashuka kwa kishindo:hatuna maneno mengi lakini tupo. @SimbaSCTanzania

Hivi ndivo alivotamba Billionea huyu katika ukurasa wake wa Twitter.


Post a Comment

0 Comments