tangazo

Rais Magufuli amekagua maendeleo ya ujenzi wa reli

Rais Magufuli amekagua maendeleo ya ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha kisasa (standard gauge) kwa sehemu ya kwanza DSM - Morogoro na kueleza kuridhishwa kwake na maendeleo ya ujenzi wa mradi huo mkubwa.

Mkurugenzi Mkuu wa TRC Eng.Masanja Kadogosa amemueleza Rais Magufuli kuwa kazi ya ujenzi wa sehemu ya kwanza ya reli ya kati kwa kiwango ch kisasa (standard gauge) imefikia 82% ambapo Watanzania 13000 wamenufaika na ajira na inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.

Post a Comment

0 Comments