tangazo

Ratiba ya ligi kuu yatangazwa

HII hapa ratiba za mechi za mwanzo kabisa ndani ya mwezi Juni Baada ya Serikali kuruhusu masuala ya michezo kuanzia Juni Mosi:-
 • Juni 14, Simba vs  Ruvu Shooting, Uwanja wa Taifa


 • Azam FC vs Mbao, Uwanja wa Azam Complex
 • Juni 17,JKT Tanzania vs Yanga, Uwanja wa Jamhuri


Hizi hapa zitachezwa Juni 20
 • JKT Tanzania vs Singida United,Uwanja wa Jamhuri
 • Ndanda vs Biashara United, Uwanja wa Nangwanda
 • Namungo vs Kagera Sugar, Majaliwa
 • Coastal Union vs Mtibwa Sugar. Mkwakwani
 • Polisi Tanzania vs Lipuli, Ushirika
 • Mbeya City vs Alliance, Sokoine
 • KMC vs Ruvu Shooting, Uhuru
 • Simba vs  Mwadui, Uwanja wa Taifa



Hizi hapa zitaanza Juni 13

 •  Mwadui FC  Vs  Yanga, Uwanja wa Kambarage.
 • Coastal Union  vs  Namungo FC, Uwanja wa  Mkwakwani..

Post a Comment

0 Comments