Tetesi za soka Ulaya Alhamisi tarehe 04.06.2020: Sancho, Dembele, Rojo, Neymar, Fraser

Real Madrid wanapendelea kumsajili Jadon Sancho
Real Madrid wanapendelea kumsajili winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho,20. (AS)
Juventus imewasiliana na Barcelona kwa lengo la kusaini mkataba na mshambuliaji Mfaransa Ousmane Dembele, mwenye umri wa miaka 23, kwa mkopo msimu huu. (Mundo Deportivo - in Spanish)

Juventus wamewasiliana na Barcelona wakitazamia kumsajili mshambuliaji wa Ousmane Dembele, 23, kwa mkopo msimu huu. (Muno Deportivo-in Spanish)

Ousmane Dembele huenda akaenda Juventus
Image captionOusmane Dembele huenda akaenda Juventus

Matumaini ya kocha wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer kuongeza kitita kwa ajili ya uhamisho kupitia mauzo ya wachezaji kama Marcos Roho, 30 , Beki wa kati Chris Smalling na mshambuliaji Alex Sanchez, 31, watakumbwa na athari zilizotokana na janga la virusi vya corona (Evening Standard
Ryan Fraser wa Bournemouth anayejiandaa kuondoka kwenye klabu hiyo msimu huu, anaweza kuwa mmoja kati ya wachezaji wanaohitajika sana kwenye ligi. (The Athletic)

Kocha Ole Gunnar Solskjaer atalazimika kuongeza kitita cha pesa kuwapata wachezaji anaowataka
Image captionKocha Ole Gunnar Solskjaer atalazimika kuongeza kitita cha pesa kuwapata wachezaji anaowataka

Paris St-Germain wanahitaji pauni milioni 156 kutoka Barcelona kwa ajili ya mshambuliaji wa Kibrazil Neymar, 28. (Sport in Spanish)
Watazamaji watakuwa na nafasi ya kusikiliza kelele za kutengeneza za mashabiki wakati Ligi ya Primia itakaporejea. (Mirror)
Kocha msaidizi wa Atletico Madrid, Burgos, 51 amethibitisha kuwa ataachia ngazi katika nafasi hiyo mwishoni mwa msimu huu na kuendelea na kazi kama kocha mkuu. (Marca)

Barcelona watatakiwa kutoboka mfuko kumpata NeymarHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionBarcelona watatakiwa kutoboka mfuko kumpata Neymar

Kundi la Kiungo wa kati wa Newcastle Matty Longstaff, 20, ambaye analipwa pauni 850 kwa wiki , amepatiwa ofa ya pauni 30,000 kwa wiki na timu ya serie A, Udinese. (Sky Sports)wafuasi wa Manchester City wataonesha ghadhabu zao kwa Uefa siku ya Ijumaa kwa kuonesha bango kubwa linalokemea chombo hicho jinsi kinavyoitendea klabu hiyo.(The Times)

Danny Rose ,29, amepewa ruksa ya kusalia kwa mkopo NewcastleHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionDanny Rose ,29, amepewa ruksa ya kusalia kwa mkopo Newcastle

Kocha wa Red Bull Salzburg, 46, atakuwa mrithi wa Lucien Favre katika kikosi cha Borussia Dortmund. (Bild-in German)
Tottenham imempa mchezaji wa nafasi ya ulinzi Danny Rose ,29, ruhusa ya kusalia kwa mkopo Newcastle kwa kipindi kilichobaki msimu huu .(Football Insider)

Diego Maradona, 59, atasalia kuwa kocha wa timu ya Gimnasia EsgrimaHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionDiego Maradona, 59, atasalia kuwa kocha wa timu ya Gimnasia Esgrima

Mchezaji nguli wa kandanda Diego Maradona, 59, atasalia kuwa kocha wa timu ya Gimnasia Esgrima mpaka mwishoni mwa msimu wa mwaka 2020-2021 baada ya kuongeza mkataba wake. (Reuters)
Barcelona ina mpango wa kumsaini tena beki wa kati wa Kihispania Eric Garcia,19, kutoka Manchester City. (ESPN)

Arsenal wako tayari kumpatia mchezaji wa nafasi ya ulinzi David Luiz,Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionArsenal wako tayari kumpatia mchezaji wa nafasi ya ulinzi David Luiz,

Arsenal wako tayari kumpatia mchezaji wa nafasi ya ulinzi David Luiz, 33, mkataba wa mwaka mmoja lakini watapunguza mshahara wake wa wiki (Mirror)
Kocha wa England Gareth Southgate hatahudhuria michezo ya ligi ya primia msimu utakapoanza kwa kuwa anahisi kuwa uwepo wake kwenye viwanja hauna umuhimu. (Star)
Manchester United wamebainisha kuwa winga wa Velez Sarsfield Thiago Almada,19, anawezekana akawa sehemu ya mpango wao wa uhamisho mbadala wa winga wa Borussia Dortmund Jadon Sancho, 20. (Manchester Evening New

Post a Comment

0 Comments