tangazo

VIDEO:Huzuni Mwanamke aliezaa na George Floyd amwaga machozi

Ikiwa bado maandamano yanaendelea nchiniMarekani wa kupinga uonevu wa Polisi dhidi ya watu weusi, hii ilibuka baada ya George Floydkufariki kwenye mikono ya Polisi siku kadhaa zilizopita huko Minneapolis.


Sasa mke wake amekutana na vyombo vya habari, unawezau ukaitazama hii hapa video ujionee mwanzo mwisho

Post a Comment

0 Comments