tangazo

Virusi vya Corona Zanzibar: Wabakia na wagonjwa 10 tuu.

Serikali ya Zanzibar kupitia waziri wa afya Zanzibar imeeleza kuwa mpaka sasa wagonjwa wa Virusi vya Corona wamezidi kupungua mpaka sasa wamebakia Kumi (10) tu.
 Aidha serikali imetangaza tayari kurejea kwa baadhi ya shughuli za kijamii ikiwemo kuendelea kwa ligi za michezo.

Serikali imehahidi kama hali ikiendelea kuwa nzuri namna hii, basi shughuli zote za kijamii na kiuchumi zitarejeshwa zote kama ilivokua.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inazidi kushuhudia ahueni kubwa sana zaidi kutokea duniani.

Watalii wote mnazidi kukaribishwa kwenye nchi salama Tanzania.

Post a Comment

0 Comments