tangazo

Walengwa wanufaika kwa matumizi sahihi ya Fedha za TASAF Katavi

Serikali mkoani Katavi imewataka walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini unaotekelezwa kupitia TASAF kutumia fursa hiyo kwa ukamilifu kwakufanya kazi kwa bidii ili kutimiza azma ya serikali ya kupambana na umaskini.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa mkoa wa Katavi Juma Zuberi Homera wakati akikagua na kujionea utekelezaji wa shughuli za mfuko huo wa Maendeleo ya Jamii-TASAF katika Halmashauri ya Nsimbo.

Tanzania Mpya

Post a Comment

0 Comments