Balozi Humphrey H. Polepole afungua fursa vyuo vikuu Nchini

" Leo tarehe 15 Septemba 2023 nimeambatana na Profesa Anangisye Makamu Mkuu wa chuo Kikuu Cha Dar es salaam, kuelekea Chuo Kikuu Cha Havana ambacho sasa ni rasmi kina uhusiano na Chuo Kikuu Cha Dar es salaam, Kwa kikaokazi kufuatia kusainiwa Kwa makubaliano kati yao Jana. Mwalimu Nyerere akipata kusema 

"wakati wengine wanatembea sisi tunapaswa kuwa tunakimbia" 

"

Amb. Humphrey H. Polepole

Post a Comment

0 Comments