tangazo

Ali Kiba na Samatta wajitolea mavazi 200 ‘ PPE’ ya wahudumu wa Afya kujikinga na Corona

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa lebo ya muziki ya Kings Music Alikiba pamoja na mchezaji wa klabu ya Aston Villa na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Ally Samatta wachangia mavazi ya wahudumu wa Afya kujikinga na Corona PPE 2oo.

upitia taasisi yao ya SAMAKIBAFOUNDATION wameoamua kujitoa mavazi hayo ambayo yatakuwa chachu ya wahudumua wa Afya kuatumia kwa ajili ya kujikinga na Corona pale wanapohudumia wagonjwa wa Corona.

Ikumbukwe Taasisi ya SAMAKIBA FOUNDATION ilianzishwana Alikiba pamoja na Samatta kwa ajili ya kusaidia Elimu mashuleni hasa katika nyaja za Afya na miundombinu kwa Ujumla.

Kupitia ukurasa wa SAMAKIBA FOUNDATION wameeleza na kufafanua nia yao ya kusaidia PPE 200 kwa wahudumua wa Afya.

Post a Comment

0 Comments