tangazo

Bashiru amvaa ‘Kigogo’ “Twitter anajiita Kigogo kasema Katibu kafa, yupo hai” (+video)


Katibu Mkuu wa Dkt. Bashiru Ally amekemea watu wanaotumia mitandao ya kijamii kupotosha jamii na hata kufikia hatua ya kuzua vifo kwa wengine, kama alivyofanya anayejiita Kigogo katika mtandao wa twitter alipotoa taarifa za uongo za kifo cha Mtendaji wa Jumuiya ya CCM wilayani Rombo.

MUDA MFUPI KABLA HAJAFA ASKARI ALISEMA “MUNGU NIJAALIE MWISHO MWEMA, NISIWE KATI YA WABAYA”

Post a Comment

0 Comments