tangazo

Mke wa polisi anayetuhumiwa kumuua mmarekani mweusi adai Talaka

Kellie Chauvin, Mke wa Derek Chauvin Polisi ambaye anatuhumiwa kwa kumkanyaga shingoni Mmarekani mweusi George Floyd hadi kupelekea kifo chake, amedai talaka kwa Mumewe, kupitia kwa Wakili wake Kellie amewapa pole Ndugu wa Marehemu Floyd na kusema Mumewe amefanya ukatili.

Post a Comment

0 Comments