tangazo

Picha: Mwili wa Balozi Mahiga ulivyowasili nyumbani kwake Iringa

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Mahiga umewasili nyumbani kwake alipokuwa akiishi Manispaa ya Iringa kwa ajili ya kuagwa, kwa sasa tayari mwili huo upo Kanisa Katoliki,Tosamaganga kwa ajili Ibada ya mwisho

Post a Comment

0 Comments