tangazo

Spika Ndugai atoa maagizo mazito kwa wabunge wa Chadema walioondoka bungeni

"Nitamke kuwa barua hiyo ya CHADEMA sio halali kwa maana ya sisi Bunge hapa, Wabunge wote warudi Bungeni haraka sana kuendelea na kazi zao, wale watakaondelea na huo mgomo wajue baada ya hizo wiki mbili zao kuisha hawatapokelewa hapa Bungeni isipokuwa kama kila mmoja wao atakuwa amefanya vipimo vya COVID- 19 na kupata majibu kuwa hawana matatizo"-Spika Ndugai.

“Nawaagiza Wabunge hawa kuanzia Freeman Mbowe mwenyewe kurudisha Tsh. 2,040,000 aliyolipwa na wenzake hawa kurudisha Tsh. 2,040,000 ambayo kila mmoja wao amelipwa kwa vile huu ni utoro wa hiari na hizi ni fedha za wananchi kwa maneno rahisi huu ni wizi”-Spika Ndugai.

Post a Comment

0 Comments