tangazo

Diamond afikisha views bilioni moja youtube

Msanii Diamond Platnumz ambaye jina lake halisi ni Nassib Abdul alijiunga na mtandao wa You tube Juni 12, 2011 na amepata watazamaji wengi kutokana na kazi zake mbalimbali anazoziweka katika mtandao huo.

Sanjali na hilo, Diamond katika akaunti yake ya Youtube tayari ana wafusi (subscribers) 3.68 million akiwa msanii wakwanza Tanzania kuwa na wafuasi wengi katika mtandao huo.

Itakumbukwa, Wiki iliyopita jarida la Billboard linalohusika na upangaji wa chart kubwa za muziki lilimtaja Diamond Platnumz kama mfano wa kuigwa duniani kote kama msanii aliyefanikiwa zaidi kupitia

Post a Comment

0 Comments