tangazo

EPL huwenda ikatumia sauti za FIFA 20

Vilabu vya Ligi Kuu England vitaamua Alhamisi hii kama wameridhia matangazo ya mechi zao za LIVE kuwekwa sauti za mashabiki kutoka katika game ya FIFA 20 baaada ya EPL kuendelea bila mashabiki sababu ya Corona.

Post a Comment

0 Comments