tangazo

Manchester United yamuongezea mkataba Odion Ighalo

Mshambuliaji wa Nigeria anayecheza Man United kwa mkopo akitokea Shanghai Greenland ya China Odion Ighalo ,30, ameongezwa mkataba wake wa mkopo Man United baada ya kuisha jana hadi January 31 2021.

Post a Comment

0 Comments