tangazo

VIDEO: Zitto Kabwe na Mbunge Bwege wakamatwa na Polisi

Jeshi la Polisi Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi leo Juni 23 limemkamata Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akiwa anajiandaa kuongoza kikao cha ndani cha wanachama wa chama hicho.  

Mbali na Zitto waliokamatwa wengine ni Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini Seleman Bungala maarufu 'Bwege' na Sheweji Mketo ambaye ni Katibu wa Kamati ya Oganaizesheni nwa chama hicho.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE 


Source: Muungwana Blog.

Post a Comment

0 Comments