UTEUZI NA UTENGUZI WA VIONGOZI WA WIZARA NA WILAYA (CHANZO IKULU MAWASILIANO)

Title of the document
Ndugu Gerson Msigwa ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Kabla ya uteuzi huo, Ndugu Msigwa alikuwa Mkurugenzi wa Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali. Nafasi iliyoachwa wazi ya Mkurugenzi wa Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali itatangazwa baadae.

HABARI ZENYE UHALISIA


Open a PDF file PAKUA WARAKA MZIMA WA UTEUZI HAPA.


Post a Comment

0 Comments