tangazo

Askofu Gwajima amtaka waziri Mkuu ampe ruhusa akawaombea wagonjwa wa corona

"Nikiongea Mungu anaponya wanaanza kunijadili, kwa taarifa yao mimi nachukua hatua ya pili, nimemuandikia Waziri Mkuu Majaliwa anipe ruhusa maalum nikawaombee wagojwa wa covid-19, aniache pale uone kama nitakuwa na corona!, kama Madaktari wanavishwa mavazi maalum (PPE) nivesheni na mimi niende nikawaombee”- Askofu Dr. Josephat Gwajima

ADVERTISEMENT

Post a Comment

0 Comments