Maambukizi ya corona Kenya yafikia 672

Wizara ya Afya Kenya imesema wagonjwa wengine wa corona 23 wameongezeka na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 672 nchini humo. “tumepima sampuli 1,056 ndani ya saa 24 na Watu 23 wana corona, kati yao Wanaume ni 13 na Wanawake 10, mgonjwa mwenye umri wa chini ana mwaka mmoja na miezi tisa na mkubwa ana miaka 80”

ADVERTISEMENT

Post a Comment

0 Comments