tangazo

Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Mariamu Msabaha avuliwa nafasi ndani ya chama

“Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA,  Mariamu Msabaha, ameshiriki kukiuka maagizo ya Chama, ilitakiwa awe mfano na kwakuwa amekwenda kinyume, amevuliwa nafasi zake zote ndani ya Chama na kubaki na Ubunge na atatakiwa ajieleze kwanini asichukuliwe hatua zaidi kwa kukiuka maagizo”-MNYIKA

ADVERTISEMENT

Post a Comment

0 Comments