tangazo

Morogoro yapokea tani 90 za sukari

Mkoa wa Morogoro umepokea Tani 90 za bidhaa ya sukari ili kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa bidhaa hiyo iliyopelekea kupanda kwa bei ya sukari kati ya shilingi 3500 kwa kilo hadi shilingi 6000.

Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Regina Chonjo amesema sukari hiyo itagawiwa kulingana na utaratibu uliowekwa ili kuondoka usumbufu.

ADVERTISEMENT

Post a Comment

0 Comments