tangazo

WHO yatoa kauli juu ya COVID-19

WHO imepiga marufuku kwa Mtu yeyote au chombo cha habari kuupa majina ugonjwa kwa kuhusisha na Nchi au eneo fulani, ili kuepuka malumbano yasiyo ya lazima, kauli ya WHO inakuja kufuatia Rais Trump na Watu wengine kuviita virusi vya corona ‘virusi vya Wuhan au virusi vya China’.

ADVERTISEMENT

Post a Comment

0 Comments