tangazo

Rais Magufuli atoa wito kwa watanzania

'' kwa hio natoa wito kwa watanzania tusiogope, tuchape kazi,wanasiasa waache kutumia corona kuleta manenomaneno , wanasema nifunge DSM, sifungi nishasema, nafikiria kuruhusu hat ligi ya mpira iendelee, maana sijaona wachezaji wenye corona tuache kutishana''-

Tunaviona vyombo vya habari kazi yao ni kupiga corona corona, tena hasa vya nje , na vinazungumzia corona ya Tanzania wakati nchi zao wamekufa watu kibao , ndio mjue kwamba hii ni vita nyengine , kwa hio tuwe makini na vijana muache kupost kila anayekufa corona''- JPM

Post a Comment

0 Comments