tangazo

Uturuki yasema ipo tayari kwa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya

Rais wa Chama cha Soka nchini Uturuki, Nihat Ozdemir amesema taifa hilo liko tayari kwa mchezo wa fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya (Uefa Champions League) katika tarehe itakayopangwa ndani ya mwezi Agosti mwaka huu.  Fainali hiyo imepangwa kufanyika katika Uwanja wa Atatürk Olympic.

Post a Comment

0 Comments