tangazo

Vifo vya corona vyazidi Marekani vyafikia elfu 65

Vifo vya corona vimeendelea kuongezeka USA ambapo hadi asubuhi hii wamefariki Watu 65,776, USA inaongoza pia kwa maambukizi Duniani, ina maambukizi ya jumla 1,131,492 na wamepona Watu 147,411, Italia vifo 28,236 na maambukizi 207,428, Hispania vifo 24,824 na maambukizi 242,988.

Post a Comment

0 Comments