tangazo

Baba Levo atangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma

Mwimbaji wa Bongofleva Baba Levo ametangaza nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini iwapo Mbunge Zitto Kabwe hatojitokeza kugombea katika jimbo hilo.


Baba Levo amesema ana imani kuwa atashinda kutokana na maendeleo ambayo ameyafanya katika kata yake ya Mwanga Kaskazini ambako yeye ni Diwani.

Post a Comment

0 Comments