tangazo

Waziri Mkuu wa Canada aungana na waandamanaji kupinga ubaguzi

Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau Amepiga goti na waandamanaji kama Ishara ya Kupinga Ubaguzi wa Rangi na Ukatili wa Polisi, Ujumbe wa waandamanaji hao ulikuwa 'Hakuna Haki, Hakuna Amani', 


Trudeau alizungukwa na walinzi wake na hakuongea kitu, Canada pia ina matatizo ya Raia na Polisi kama Marekani.

Post a Comment

0 Comments