tangazo

Chama cha CHADEMA chamjibu Spika Ndugai

Chama cha Chadema  kimemjibu Spika Ndugai na kusema kuwa kama anahisi Wabunge wa chama hicho hawajajiweka Karantini na wanazurura, basi aseme wako wapi na kuongeza kuwa yeye ndiye Spika wa kwanza kulipa mishahara kwa Mbunge hewa Cecil Mwambe ambaye alishajiuzulu.

Post a Comment

0 Comments