tangazo

Jafo aagiza mwendokasi kurejea hali ya kawaida


Waziri wa Nchi , ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( TAMISEMI) Selemani Jafo amemuagiza wakala wa mabasi yaendayo haraka UDART kuhakikisha usafiri wa mabasi hayo unarejea kama kawaida kabla ya Juni Mosi, mwaka huu na kuondoa kero ya sasa inayowakumba abiria wanaotumia usafiri huo.

hatua hio imetokana na kuwepo kwa msongamano mkubwa wa abiria katika siku chache zilizopita kutokana na watu wengi kurejea kwa kasi kwenye shughuli za kiuchumi baada ya maambukizi ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona.

Bofya Hapa kusoma Habari zote

Post a Comment

0 Comments