tangazo

Jeshi la Urusi lazuia msafara wa jeshi la Marekani Syria

Wanajeshi wa Urusi kwa muda mrefu walizuialiwa na jeshi la Marekani tangu  Januari kusogelea eneo lenye  mafuta Syria.

Wanajeshi wa Urusi wazuia  msafara wa jeshi la Marekani nchini Syria kusogelea katika eneoa ambalo kunpatikana mafuta Rumeylan nchini Syria.

Wanajeshi wa Marekani walikuwa wakijielekeza katika eneo hilo lenye mafuta, jeshi la Urusi limefanya hivyo kama kulipiza kisasi.

Wanajeshi hao wa Marekani wamekuwa wakitaka kujiekeza katika eneo la Kati la Qamişli, eneo ambalo limekaliwa  na magaidi wa kundi la PKK na tawi lake wa YPG nchini Syria.

Kulingana na taarifa zilizotolewa na mashuhuda wa  tukio hilo, jeshi la Urusi lilikuwa limeilinda rodia katika eneo la Rumeylan  lilikiwa na magari  9 ya jeshi.

Jeshi la Marekani likiwa na magari  10 limezuiliwa na jeshi hilo la Urusi kuingia katika eneo hilo kupitia  eneo la Hazana.

Post a Comment

0 Comments