tangazo

Mapigano ya kikabila yasababisha maafa nchini Sudan

Makabiliano ya kikabila nchini Suadan ayapelekea vifo vya watu watatu na  wengine wajeruhiwa
Watu watatu wameripotiwa kuuawa  na wengine 79 wamejeruhiwa katika mapigano ya kikabilia yaliotokea nchini Sudan.

Mapigano hayo kati ya kabila la Beni Amri na kabila ya Nuba yametokea  Mashariki mwa Sudani.
Watu watatu wamefariki katika mapigano hayo na watu wengine  79 wamejeruhiwa ikiwemo  waliojeruhiwa vikali.

Watu watatu wamefariki katika mapigano ya kikabilia yaliotokea kati ya kabila ka Beni Amri na kabila Nuba Mashariki mwa Sudani na kupelekea watu wengine zaidi ya  70 kujeruhiwa.

Gavana wa Kesele, Mahmud Baberk amesema kwamba matukio ya Alkhamis kati ya  makabila hayo mawili, makabili ambayo huasimiana kwa  muda mrefu, jeshi la kulinda uslama lililzamika kuingilia kati na kutuliza ghasia huku machufuku yakiripotiwa kutokea upya  Ijumaa wiki iliota.

Baberk amesema kuwa watu watatu ndio waliouawa katika makailiano hayo kati ya makabilia hayo mawili.

Majumba yalichmwa moto na watu  59 walikamatwa


ADVERTISEMENT

Post a Comment

0 Comments