tangazo

VIDEO: Waziri Ummy aeleza sababu ya kutotoa taarifa mpya mwenendo wa Corona

Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee Watoto Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa Covid-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa maabara ya taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE 

Post a Comment

0 Comments