tangazo

Virusi vya corona: Tanzania yapokea shehena ya 'Dawa' ya Madagascar


Tanzania leo imepokea msaada wa dawa zinazofubaza Virusi vya Corona kutoka Serikali ya Madagascar.
Ujumbe wa Tanzania umeongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataia, Prof Palamagamba Kabudi.


Post a Comment

0 Comments