tangazo

Benki ya Dunia leo imeiweka Tanzania rasmi katika orodha ya Nchi za Uchumi wa Kipato cha Kati


RASMI: Benki ya Dunia leo imeiweka Tanzania rasmi katika orodha ya Nchi za Uchumi wa Kipato cha Kati. Hii ni miaka mitano kabla ya lengo la Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025; Asanteni sana wote.

Ama kwa hakika hii ni #Miaka59yaKazi


Bofya kuiona Twitter ya Dkt. H.A

Bofya Hapa kusoma Habari Nyinginezo

Post a Comment

0 Comments